FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
20240508_235912.jpg

20240509_155456.jpg

#nguvumoja#

VIKOSI VINAVYOANZA.

AZAM FC
20240509_172323.jpg


SIMBA SC.
20240509_172245.jpg


Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.

Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.

20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0 Simba

29'
Simba wanapata kona!
Haileti madhara yoyote yale.

34'
Azam wanapata penati hapa.
Anapiga Feisali Salum
Amekosaaaaaaaaaaaaaa...
Imegonga mwamba na kurudi uwanjani.

39'
Mpira umesimama kwa muda .
Kanoute amegongana na kipa Mustafa.
Anatolewa nje kwa matibabu zaidi.

HT
0-0

----------------------
Kipindi cha pili

55'
Game on
0-0

64'
Goooooooooooal
Sadio Kanouteeeeeeeeeeee
Goaaaaaaaaalllll
0-1

Mpira unaendelea sasa.

Sub kwa Azam
Sopu Inn.

75'
Simba wanapata Free Kick anapiga Mohamed Hussein.
Anaipokea Fabrice Ngoma kwa kichwa.
Goooooooooooal Goaaaaaaaaalllll
Ngomaaaaaaaaaaaa.
Fabrice Ngomaaaaa...

0-2.

89'
Goooooooooooal
la Tatu.
Kameta anaipatia Simba goli la 3 hapa.
Azam 0 - 3 Simba.

FT
Azam 0-3 Simba.
20240509_201730.jpg
 
Hili timu lina hati hati ya kutokucheza CAF Champion league.
for the benefit of Nation we should play CAFCL we are better in International competition than all in this Country/Nation.

Sorry for my poor English.
#simbanguvumoja#
 
Back
Top Bottom