FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Azam pigeni hawa mbwa ili mjihakikishie nafasi ya pili
Tatizo wachezaji wazawa karibia wote mioyoni mwao ni Simba na Yanga. Kwahiyo wapo wachezaji ndani ya Azam wanaoiombea Ushindi Simba na wapo wanaoiombea Mabaya. Hivyo lolote linaweza kutokea hata kusababisha penalty kwa makusudi.

Pia Tff ya Karia haiwezi kukubali Simba ifungwe leo. Tutarajie maelekezo kwa waamuzi wa leo

Ndilo soka letu hili
 
Nawaombea wapigwe tu
Kimahesabu Azam anatakiwa kufungwa kama mnautaka Ubingwa.

I don't know how you Utos make ur calculations
You don't see Azam FC as threat.
Listen !! you may be surprised.

sorry for bad English.

#Simbaaaaa....Nguvu moya-In Fantino voice
 
Mbona mnatanguliza mapema sababu za ushindi wetu wa leo?

This is a Must Win game to Simba SC, mnyama mkali sana 🦁 🦁
 
Bado game 2 tutangaze
Kuna timu imetangulia Manungu tayari.

Mtibwa inapambana kutoshuka daraja, na jana wameona game yenu vizuri.

+ Kikosi tangulizi, kule mtasuluhu au kupoteza.

Hakuna namna mtaifunga Mtibwa.

Ndio utahesabu game zilizobaki utabaini kuwa Ubingwa badoo
 
Kimahesabu Azam anatakiwa kufungwa kama mnautaka Ubingwa.

I don't know how you Utos make ur calculations
You don't see Azam FC as threat.
Listen !! you may be surprised.

sorry for bad English.

#Simbaaaaa....Nguvu moya-In Fantino voice
Nyie leo hamtoboi hapo
 
Kuna timu imetangulia Manungu tayari.

Mtibwa inapambana kutoshuka daraja, na jana wameona game yenu vizuri.

+ Kikosi tangulizi, kule mtasuluhu au kupoteza.

Hakuna namna mtaifunga Mtibwa.

Ndio utahesabu game zilizobaki utabaini kuwa Ubingwa badoo
Haha kama nyie mlimfunga sembuse sisi?
 
Nachojua Yanga Bingwa [emoji2957]

Acha wafu wazikane
 
Namwombea mtani wangu Mbumbumbu
Ashinde game ya leo
Hao ndo wakubwa wenzetu wawe bora ili utani uzidi
Simba ikifa au ikiwa dhaifu sifurahi
Azam sipendi wawe wakubwa
 
Back
Top Bottom