Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubingwa wa Yanga hauhitaji msaada kwa Azam wala kwa Simba bali ni kwa kushinda mechi zake jambo ambalo lina zaidi ya asilimia 90 kufanikiwa. Amebakiza mechi 4 amalize ligi. Na katika hizo mechi nne anatakiwa ashinde mechi mbili tu bila kuangalia mechi ya leo ya Azam vs Simba. Kama ikitokea sare au Azam kufungwa ni kama safari inakuwa inazidi kurahisishwaKimahesabu Azam anatakiwa kufungwa kama mnautaka Ubingwa.
I don't know how you Utos make ur calculations
You don't see Azam FC as threat.
Listen !! you may be surprised.
sorry for bad English.
#Simbaaaaa....Nguvu moya-In Fantino voice
Kauli yako ya Mwisho inamaana.Ubingwa wa Yanga hauhitaji msaada kwa Azam wala kwa Simba bali ni kwa kushinda mechi zake jambo ambalo lina zaidi ya asilimia 90 kufanikiwa. Amebakiza mechi 4 amalize ligi. Na katika hizo mechi nne anatakiwa ashinde mechi mbili tu bila kuangalia mechi ya leo ya Azam vs Simba. Kama ikitokea sare au Azam kufungwa ni kama safari inakuwa inazidi kurahisishwa
Wewe jamaa ni bichwa maji.Kuna timu imetangulia Manungu tayari.
Mtibwa inapambana kutoshuka daraja, na jana wameona game yenu vizuri.
+ Kikosi tangulizi, kule mtasuluhu au kupoteza.
Hakuna namna mtaifunga Mtibwa.
Ndio utahesabu game zilizobaki utabaini kuwa Ubingwa badoo
Kwa idadi ya mechi zilizobaki hata kama tofauti ingekuwa point moja bado Yanga wangechukua ubingwa. Simba na Yanga unawajua unawasikia? Wana option nyingi mno za kuwapa ushindiUnaweza kushangazwa!
Mkitoka Manungu J3 lazima muwe na lugha ingine hapa
Yanga tokea msimu uanze kasuluhu mechi ngapi mfululizo? Kwanini leo hii uamini kuwa itasuluhu mechi zote wakati ni jambo ambalo halijawah kutokea kwa Yanga? Sema unatamani itokee hivyoKauli yako ya Mwisho inamaana.
Ila Yanga anaweza kusuluhu game zilizobaki na Azam akashinda zote.
Ubingwa watausikia vichochoroni.
asubilie mech nyingne,, sio hii...leo ataishia kujilamba2Simba wanatamani Fei toto achukue kiatu amzidi Aziz. Sasa leo ndio siku nzuri ya kumsapoti Fei ili aweze kubeba kiatu cha ufungaji bora.
Tena lolote baya🤣🤣🤣Lolote liwakute
Ngumu sana tena Sana mtibwa tutawapiga kama ngomaUnaweza kushangazwa!
Mkitoka Manungu J3 lazima muwe na lugha ingine hapa
KabisaTena lolote baya🤣🤣🤣