FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Kwahiyo ni kipi wanasimba mnakitaka leo? Mnataka kuirahisishia Yanga ubingwa kwa kumfunga Azam au mnataka kuicheleweshea ubingwa Yanga kwa kufungwa na Azam?
 
Mambo muhimu kuelekea mechi ya leo.
1) Kama mechi ya leo itaisha kwa sare au kwa Simba kushinda ni wazi Yanga kapewa ruksa ya kutangaza ubingwa kwenye mechi inayofuata dhidi ya Mtibwa. Yaani kwa maana nyingine Yanga atahitaji apate sare mechi tatu tu kuwa bingwa.
 
Simba Tukishinda game zote 6 tulizonazo
Tuna Point 71.
Uto akipoteza mbili na droo mbili anakuwa na point 70.

Azam akidroo moja na kushinda zote anakuwa na point 71.

Uto Ubingwa bado.
Utaamuliwa mechi ya mwisho.
 
HOLY GHOST FIREEEEEEEEEEEEE AGAIN 🔥 🔥 🔥
 
Attachments

  • 1715256694269.jpg
    1715256694269.jpg
    147.3 KB · Views: 2
Simba Tukishinda game zote 6 tulizonazo
Tuna Point 71.
Uto akipoteza mbili na droo mbili anakuwa na point 70.

Azam akidroo moja na kushinda zote anakuwa na point 71.

Uto Ubingwa bado.
Utaamuliwa mechi ya mwisho.
Kwahiyo kwa akili yako unafikiria ni timu zipi mbili za kumfunga Yanga? Unaota vitu visivyowezekana, amka usingizini.
 
Kwahiyo kwa akili yako unafikiria ni timu zipi mbili za kumfunga Yanga? Unaota vitu visivyowezekana, amka usingizini.
Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 0 Tanzania Prison.

Nisome kwa makini hapo Juu.
 
Back
Top Bottom