FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Kutoka kucheza robo cafcl hadi kupigania nafasi ya 2😀😀. Azam hakikisheni hawa maboya hawachezi champions league msimu ujao.
 
Nimekukumbuka sana ndugu yangu Ghazwat hivi upogo kweli?

#Mwanakulitakamwanakulipata.
 
Alipotezwa na Upepo wa kono la nyani.

Kama huna Resilience hutoboi 😂😂
Daah! Halafu ye ndo alikuwa muanzisha nyuzi maarufu za 5imba kwa miaka kadhaa nyuma.

Nimuombe siku akiingia Jf au kama ana Id mpya na anasoma anicheck aisee. Mana nimeona last seen yake ni ya mwaka jana july.

Ghazwat.
 
We Unahisi Simba Hawezi kuchukua Ubingwa au Kuwa Nafasi ya Pili???
Hebu sema kwanini??
Hawezi kuchukua ubingwa.

Ubingwa ni wa Yanga.

Yanga kabakisha mechi nne.

Anahitaji ushindi wa mechi mbili tu anyanyue ndoo.

Kwa ubora wa Yanga na mechi zilizobaki sio rahisi kupoteza mechi zote.

Nafasi ya pili inagombaniwa kati ya Simba na Azam.

Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuipata.
 
Daah! Halafu ye ndo alikuwa muanzisha nyuzi maarufu za 5imba kwa miaka kadhaa nyuma.

Nimuombe siku akiingia Jf au kama ana Id mpya na anasoma anicheck aisee. Mana nimeona last seen yake ni ya mwaka jana july.

Ghazwat.
Au ndio mimi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom