Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga hesabu vizuri hata kama azam akifungwa na Simba Yanga atahitaji point 5 hili awe bingwa.Pia anapaswa inapaswa kufahamika kuwa ushindi wa mechi mbili ni endapo leo Azam atashinda. Ila kama Azam atafungwa au kutoka sare, basi Yanga atahitaji ushindi wa point 3 tu kuwa bingwa wa ligi kuu.
Ila jamaa bana Kuna muda sijui unawaza niniMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Hukunipa mrejeshoNawatakia Azam furaha usiku wa leo
Wawanyooshe watakaocheza nao leo iwe Kagera, Ihefu yeyote yule
Azam mbele kwa mbele..!🤸
KanidanganyaHukunipa mrejesho
Ni majeruhi huyo.Hayupo hata Sub.
Si mmeshamdanganya? Anavimba
Huyu jamaa tutakula nae sahani mojaKanidanganya
Nilikosea ila pia nawe umekosea. Kama Simba akishinda leo, Yanga atahitaji point 4 tu sawa na ushindi mmoja sare moja. Simba hana uwezo wa kufikisha point 72 hata akishinda leo. Ataishia point 71 .Piga hesabu vizuri hata kama azam akifungwa na Simba Yanga atahitaji point 5 hili awe bingwa.
Point tano ni sawa na michezo miwili.
Hapo yanga atakuwa amefikisha point 74 ambazo haziwezi kufikiwa na yoyote.
Simba akishinda mechi zake zote zilizobaki atafikisha point 72.
Vile vile azam akishinda mechi zake zote zilizobaki atafikisha point 72.
Unapiga nyeto?, maana hizi ni hesabu za wapiga nyeto 🤣.Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Muache tu! Mambo madogo hayaHuyu jamaa tutakula nae sahani moja
Nini hiki.Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.