changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Pia anapaswa inapaswa kufahamika kuwa ushindi wa mechi mbili ni endapo leo Azam atashinda. Ila kama Azam atafungwa au kutoka sare, basi Yanga atahitaji ushindi wa point 3 au 4 tu kuwa bingwa wa ligi kuu.Hawezi kuchukua ubingwa.
Ubingwa ni wa Yanga.
Yanga kabakisha mechi nne.
Anahitaji ushindi wa mechi mbili tu anyanyue ndoo.
Kwa ubora wa Yanga na mechi zilizobaki sio rahisi kupoteza mechi zote.
Nafasi ya pili inagombaniwa kati ya Simba na Azam.
Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuipata.