Baba Tarabushi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 248
- 433
Nani kafunga?Chumaaaaa
hawajui kuangalia offside hao wao wanaangalia mpira ulipotua badala ya kuangalia wakat mpira unapigwa wachezaji walikua wapi? kabla yakufata mpiraKaka mpira ukiisha utaona marudio. Offside ilikuwa kabla ya mpigaji wa mwisho.
Nado wakati anapiga walishaua offside.
Ngoma 2Naskia kelele huko