Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ndio muachage kuwalaumu marefa sasaUkiwa uwanjani sio rahisi uone offside. Labda uwe umekaa kwenye angle sahihi. Wa kwenye luninga ndio wanaona kwa usahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio muachage kuwalaumu marefa sasaUkiwa uwanjani sio rahisi uone offside. Labda uwe umekaa kwenye angle sahihi. Wa kwenye luninga ndio wanaona kwa usahihi.
😂😂Yani hii timu inabid uwe unaangalia Kwa kuviziaKujificha Lazma maana kwa simba hii Unaweza ukalala Na Viatu 🤣🤣🤣🤣
Haina tofauti na Man U
Watu wanasahau Jamaa anatokea Tanga 🤣🤣Nimemini Gwadiola mnene ndie huwa anaigharimu simba kukiwa na kocha mwingine.
Msimu ujao msitafute kocha, mpeni timu Gwadiola mnene
Mtani bora simba, huyo mwingine ni hatari zaidi. 😁Kujificha Lazma maana kwa simba hii Unaweza ukalala Na Viatu 🤣🤣🤣🤣
Haina tofauti na Man U
Umeandika kiutani lakni ujumbe umefikaMimi leo nasimama na Watani zangu Simba.
Azam tangu watukamie hawana adabu kabisa sijui wanataka kujikuta nani hapa Daslam hasa huyo Fei wallah bora amekosa penati...
Yani Simba leo nguvu moyaa wapigeni hao watoto kuna mda wanajisahau sana
Yanga tumuite mme mjinga wa Simba. Ila Simba tumuite mke mwerevu ya YangaNa Yanga tuwaite nani?
Ukijifanya Kuangalia Bila kuvizia unaweza kumtukana mpaka mama Mkwe 🤣🤣🤣😂😂Yani hii timu inabid uwe unaangalia Kwa kuvizia
Hivi ilikuwaje wakawatandika Uto?Hii Azam ni takataka
Analysis yangu hiiMzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...
Ubingwa wa Simba mzee
Jamaa nyota imeng'aa sana kwa kweli.Watu wanasahau Jamaa anatokea Tanga 🤣🤣
Na Timu anaitaka wanamnyima Mara wampeleke Simba queen
Mpaka kwao, yaan hapa kipyenga kikiimbaa, niko road kuelekea huko.Unamfahamu?
Simba 2 - 0 Azam
Yanga alifungwa kwa sababu ya mashindano ya kimataifa.NAULIZA
Hii Azam iliifungaje Yanga?