FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Azam amekuwa unga kuliko mashujaa, namungo na Tabora United duh
Hii timu ivunjwe tu wawekeze ela Kwenye ice cream na unga wa ngano .
 
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...

Ubingwa wa Simba mzee
Analysis yangu hii
 
Back
Top Bottom