Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FredNani kafunga??
😀😀😀Yani hatari unaweza kupata aibu ya mwakaUkijifanya Kuangalia Bila kuvizia unaweza kumtukana mpaka mama Mkwe 🤣🤣🤣
Walikuta Yanga anawaza Championship ndio maana.Hivi ilikuwaje wakawatandika Uto?
FredNani kafunga??
DuchuNani kafunga??
Striker letu la dirisha dogoFred
Ivo yaanMsiniambie 3 bila!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
Na magoli ya mchongo mchongo😆😆😆 hawa ndo mana Aziz aliwapiga HatrickWalikuta Yanga anawaza Championship ndio maana.
Inatosha mumpe Mgunda mkataba wa kudumuChuma cha Tatu.
Walimuumiza Pacome alafu wakacheza kijanja janja tu hamna kitu haoHivi ilikuwaje wakawatandika Uto?