FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Kadi ya njano kwa Yahya Zaidi
Dakika ya 90'

Kadi ya njano
John Boko
Dakika 90' ya mchezo
 
PANGA LENYE MAKALI LINAHITAJIKA MWENYE NAYO AMPELEKEE MO
 
Boko

Kona kwa Simba

Dakika 1' imebaki

Mda wowote mpira unaisha

Zimbweeeeee

Kona
 
Hii mechi kocha ameiuza hii.
Unamuachaje Sakho nje unaweka kapama?
 
Back
Top Bottom