FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Unatafuta kushinda unamuweka Boko? Unamuacha Nyoni? Baadae mje muwatulize mashabiki wawe wanakuja uwanjani
 
Guadiola mnene
FB_IMG_1666870914877.jpg
 
Mbinu za ki k zimeanza,kocha wa azam hizo hela ulizokula zitakutokea puani,unamtoaje kipre?mchezaj bora wa hii mech mpk dk hizi?
Kweli kuna watu mnapelekwa na upepo. Sub ya Kwanza ya Azam alistahili Kipre.
 
Back
Top Bottom