spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Manula Shabalala Chama Moses phiriHukutegemea kwa timu gani uliyonayo? Niambie mchezaji gani wa Simba anaweza kupata namba Azzam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manula Shabalala Chama Moses phiriHukutegemea kwa timu gani uliyonayo? Niambie mchezaji gani wa Simba anaweza kupata namba Azzam?
Sakho kwa manyama mnaotaKheee sakho tena jmn[emoji23]
Hawapati anapata chama tu manura angekuwa muhimu tusingewauziaManula Shabalala Chama Moses phiri
Nasubiri Uzi wa gentaaMatola na Mgunda ni Wajinga
Period.
Manula amuweke benchi kipa wa Azzam? Labda Chama anaweza kupigania namba, hao wengine hamna kitu.Manula Shabalala Chama Moses phiri
haya yakoje matokeo?Najua mnaongea sana, ila nasikitika sana kwani huyo mnaemtumainia amekufa goli tatu kwa moja, kama unabisha nipo nimekaa pale!!
Tusubiri kipindi cha pili
Pole sana 😃Acha tuu ndugu yangu
Dada i told you Azam hatufungwi na team zisizo na viwanjaAcha tuu ndugu yangu
Kimataifa au kimakundi, nani asiyejua Makolokolo wanapofikiaga huko [emoji848][emoji38]Sasa Utawaskia “Sisi Tunawaza Kimataifa” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]