FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Juma Ramadhan Mgunda nakukubali ila leo umezingua tangu asubuhi. Kama vipi wewe fundisha ila kikosi tuachie mashabiki tupange. Azam wana kasi na ni vijana wadogo walihitaji vijana wadogo wenzao. Game hii kumchezesha Nyoni, Bocco, na Mkude na kuwaingiza akina Banda, Sakho dakika za lala salama ni kulewa sifa. 😭
Amechemka sana. Ila tumsamehe siku hazilingani
 
Hauelewi nini sasa! Mbona nilishawatabiria kufungwa leo! Mkijitahidi sana basi ni sare! Na sababu ziko 3:-

1. Mmetoka kucheza mechi ngumu na Yanga.
2. Azam ana kikosi bora msimu huu, na kilichopoteza mechi 2 zilizopota kizembe! Hivyo walihitaji kujiuliza kwenu.
3. Azam kwa sasa ipo chini ya kocha wa muda Kally Ongala! Hivyo hata ningekuwa mimi, ningehakikisha nawakazia mwanzo mwisho, ili uongozi uniamini na hivyo kuwa kocha mkuu.
Nayachukua maoni yako kama challenge kwasababu tushapoteza na kila mtu leo atavaa joho la kiuchambuzi kutoa kasoro yale aliyoyaona
 
Pamoja na hayo Simba ni timu kubwa africa yote
Hata man city alifungwa liverpool
Simba nguvu 1
 
#Fact ni hii mechi ya de agosto ndo ilificha ubovu wa simba nilitamani sana mgunda apewe mkataba kabla ya hii mechi ndio ungekuwa mkataba mfupi wa kocha kuwahi kutokea

Unbeaten is real, mafuta yamejitenga na Maji
Tulia hamna cha maji kujitenga na mafuta Yanga bado ni wabovu tuu msikilizeni mwenye akili sunday manara msishupaze shingo na hizo un beaten zenu mkakalie moto kwa waarabu
 
Back
Top Bottom