FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Juma Ramadhan Mgunda nakukubali ila leo umezingua tangu asubuhi. Kama vipi wewe fundisha ila kikosi tuachie mashabiki tupange. Azam wana kasi na ni vijana wadogo walihitaji vijana wadogo wenzao. Game hii kumchezesha Nyoni, Bocco, na Mkude na kuwaingiza akina Banda, Sakho dakika za lala salama ni kulewa sifa. 😭
Tayari kumekucha! 😃
 
“Hatuzuiliki Hatushikiki We Are Unstoppable” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana rafiki. Ulale mapema, ili kupunguza munkari. Sasa amebakia Yanga peke yake ambaye ni unbeaten mpaka sasa.

Na safari ya ubingwa kwa mara ya pili mfululizo, ndiyo imeanza hivyo.
Sidhani mkuu ushindani bado ni mkubwa
 
Wale waliokuwa wanasema Simba atafungwa na Azam kwasababu ei Yanga alipata sare kwa tabu ebu njooni mjishike ujinga
IMG-20221027-WA0061.jpg
 
Nimesikia mtangazaji kajisahau kasema afadhali wamepigwa wapuuzi hawa
 
Back
Top Bottom