FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Umri umeenda halafu mpira na umri vinafanana, leo aliyemwona c.ronaldo wa enzi zile chenga za mkasi na huyu wa leo unaona kabisa moyo unataka lakini mwili umekataa mpira
Kweli kabisa kila kitu kwa wakati wake. Akubali tuuu astaafu kwa heshima na atapata kazi hapo hapo simba na sio kucheza
 
Ila Kyombo bado ni mzuri wampe nafasi ajiamini sio kumtoa benchi kunamfanya akose kujiamini. Unaona kabisa hata uchezaji wake akitulia ni bonge la mchezaji.
Sura ni mzuri kweli Kama nandy
 
Upande wa Erasto nyoni ndio umefakisha

Plus Kyombo kakosa mabao mawili ya wazi
Bro i told you mpira uwekezaji sio historia hata muungane simba na Yanga refa awe fair hamuifungi Azam
 
[emoji41]
IMG_0281.jpg
 
Jamani hata kama hatujui mpila lakini hapana aise.
Wajuzi wa soka njooni mtuambie nyoni alikuwa ana fanya nn uwanjani?

Maana ilikuwa ni kichefu chefu kabisa.
 
Nyoni umeifanyia timu yetu makubwa ila leo wacha nikutukane .Kenge mmoja wewe.
 
Bro i told you mpira uwekezaji sio historia hata muungane simba na Yanga refa awe fair hamuifungi Azam
Sasa uwekezaji Simba haijafanya?

Wachezaji kama majeruhi unataka tuchezeshe makocha wakati wachezaji waakiba wapo?

So tusiwaweke katika nafasi hizo kwasababu hawana game fitness au rekodi nzuri?

Unaongea uwekezaji wakati timu yako ina Kisinda, Moloko na Birigimanya ambao wote wamepwaya kwenye mechi zao za mwisho?

Au uwekezaji kwenye mifuko ya marefa kama nyinyi wenzetu mnavyofanya?
 
Kheeeee!
Kwa Magugu yale mlitegemea ushindi kweli [emoji15][emoji23]
Kwanza unabidi uelewe kuwa Simba haina falsafa ya kuhesabu mechi ambazo hawajapoteza.

Kiasi ikitokea wamepoteza iwe stori kubwa mtaani na mitandaoni.

Hakuna mshabiki wa Simba anayepiga kelele kuhusu kutopoteza mechi

By the way tuna appreciate ubora wa mpinzani kwa kukubaliana na matokeo na sio kutumia njia za hila ili kupata matokeo yatakayo kuridhisha

That is how football is miss lady
 
Mambo ya Gwadiola mnene
 
Back
Top Bottom