Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Kwa records gani alizowazidi kina maulid dilunga et all?Boko amechoka aisee ila ni mvp wa wakati wote. Atabaki kwenye kumbukumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa records gani alizowazidi kina maulid dilunga et all?Boko amechoka aisee ila ni mvp wa wakati wote. Atabaki kwenye kumbukumbu
Toa tu iyo mimba..Acha kuwalaumu mods wakati makosa yapo kwako, umeandika neno moja tu UJINGA then unapewa taarifa uandike zaidi ya maneno matatu wewe unakasirika, sasa kosa la mods hapo ni nini? Au kipigo cha leo kimekuchanganya.
Elewa kutofautisha kati ya neno na herufi
AU SIO KIMA WEWE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naziona goli 2 mnyama anashinda
Mi hao wazee siwakumbuki naongelea sasa.Kwa records gani alizowazidi kina maulid dilunga et all?
Asa bro mtu ana isah ndala una kanoute kweli upo serious?Sasa uwekezaji Simba haijafanya?
Wachezaji kama majeruhi unataka tuchezeshe makocha wakati wachezaji waakiba wapo?
So tusiwaweke katika nafasi hizo kwasababu hawana game fitness au rekodi nzuri?
Unaongea uwekezaji wakati timu yako ina Kisinda, Moloko na Birigimanya ambao wote wamepwaya kwenye mechi zao za mwisho?
Au uwekezaji kwenye mifuko ya marefa kama nyinyi wenzetu mnavyofanya?
Skuungi mkono mkuu,yaan leo Kyombo kakosa goli la wazi mno, yaan Kama inawezekana dirisha dogo angeondoka tu pamoja na Kibu wakeIla Kyombo bado ni mzuri wampe nafasi ajiamini sio kumtoa benchi kunamfanya akose kujiamini. Unaona kabisa hata uchezaji wake akitulia ni bonge la mchezaji.
Tawile [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787]Naziona goli 2 mnyama anashinda
Wameshavuliwa boxer tayariJipe moyo.Mnavuliwa boxer leo
Niko pekeangu tuHivi Kumbe Azam ni tawi la Yanga? Maana azam ni mmoja tuu mi namfamhamu humu ila naona kuna azam lialia wanawacheka wana lunyasi ila ni kama ni watu wa Utopoloni hahahaaa.
Leo ukumbi wenu huu
Si na mimi nashangaaa hawa nyuki wametokea wapi?Niko pekeangu tu
Hapana ni kwa sababu hawampi nafasi hivyo anakosa kujiaminiSkuungi mkono mkuu,yaan leo Kyombo kakosa goli la wazi mno, yaan Kama inawezekana dirisha dogo angeondoka tu pamoja na Kibu wake
Napenda kuona sana mkiwa mnacheka na kuweka kando matusi ambayo mmekuwa mkiyatoa dhidi ya wengineTawile [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Wote machawa wanguSi na mimi nashangaaa hawa nyuki wametokea wapi?
We utakuwa una matatizo sio bureAsa bro mtu ana isah ndala una kanoute kweli upo serious?
Mtu ana kipre junior wewe una sakho serious?
Acheni siasa mwaka jana Simba na yanga mmefunga azam
NADO, LYANGA,BAJANA, DUBE MAJERUHI
AGREY , MUDATHURI, SURE BOY WAMEFUNGIWA
MKAONGEA SANA LEO MNASINGIZIA NINI NYIE NA YANGA ATA MKIUNGANA MNAPIGWA NA AZAM
Ivi bro kuna mchezaji gani simba anaepata number azam tukiacha ushabiki ukimtoa Chama?We utakuwa una matatizo sio bure
Yani Kanoute unamuona mbovu?
Israh huyu aliyemfanya Kisinda mpaka akahama upande na kuonekana hana la maana uwanjani leo hii unawezaje kumuongelea kama mchezaji mbovu?
Actually hatukatai kwamba kuna siku mpira unaweza ukamgomea mchezaji yeyote yule hata yule ambaye siku zote amekuwa akiipa faida timu
Ila hatuwezi kusema mchezaji mbovu kwa makosa ya mechi moja
Alichokifanya Habibu Kyombo kukosa goli la wazi ukitaka kumsema kwamba ni mbovu, unapaswa ukumbuke Mayele amekuwa akikosa nafasi zaidi ya tatu kwenye mechi moja
So nayeye utasema ni mbovu?