FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Amebahatisha tu.
Azam ina kila kitu lkn litimu linaboronga kila siku aaaa.
Leo wamebahatisha
Mkifungwa mmebahatishwa hatupoteza kwa team zisizo na viwanja
 
Tusitegemee kufika Mtoani kwa hawa watu

Bocco
Matola
Manura
Kibu
Mgunda
Banda
 
Tusitegemee kufika Mtoani kwa hawa watu

Bocco
Matola
Manura
Kibu
Mgunda
Banda
Hata Air Manula hamumtaki tena kisa ameitwa MV Manula.

Mgunda amewasaidia kufika makundi naye mmemchoka?

Na huyo wonderkid hamumtaki, mapema hivi msijikatie tamaa.
 
Hii timu ya ajabu sana ikifungwa lazma atimuliwe mtu, kuna siku timu itabaki na goal kipa tu.
 
Hatimaye, jana baada ya miaka 6, matajiri wa Chamazi Azam Fc imekataa uteja baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wanalunyasi Simba Sports Club ambapo goli la pekee katika mchezo huo likiwekwa kimyani na Mwanamfalme wa Afrika kusini Prince Mpumelelo Dube mnamo dakika ya 35 ya mchezo.

Baada ya ushindi huo Azam Fc imesogea mpaka nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC ikiwa na jumla ya alama 14 ikiwa imefungana na Simba Sc huku wakiwa na utofauti wa magoli ya kushinda na kufungwa.
FB_IMG_16669412481251941.jpg
FB_IMG_16669414006565376.jpg
 
Back
Top Bottom