We utakuwa una matatizo sio bure
Yani Kanoute unamuona mbovu?
Israh huyu aliyemfanya Kisinda mpaka akahama upande na kuonekana hana la maana uwanjani leo hii unawezaje kumuongelea kama mchezaji mbovu?
Actually hatukatai kwamba kuna siku mpira unaweza ukamgomea mchezaji yeyote yule hata yule ambaye siku zote amekuwa akiipa faida timu
Ila hatuwezi kusema mchezaji mbovu kwa makosa ya mechi moja
Alichokifanya Habibu Kyombo kukosa goli la wazi ukitaka kumsema kwamba ni mbovu, unapaswa ukumbuke Mayele amekuwa akikosa nafasi zaidi ya tatu kwenye mechi moja
So nayeye utasema ni mbovu?