kipindi cha 2 mtachomoaDakika ya 82
Mashabiki wa kimataifa [emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa Simba wameanza kuondoka uwanjani
Tulia hap jana mlijifanya wachambuzi humu ,mtizame NDALA anavyo washika makalio viungo wenu.Short on target Kitu gani...We angalau pira La Level Za Makundi CL CAF....24 yrs Sio Mchezo ...
kipindi cha kwanza wanaondoka kwa niniMashabiki wa Simba wameanza kuondoka uwanjani
Amebahatisha tu.Kama ni hivyo leo mtani kazi tunayo asee. Acha tuone kama kuna muujiza wowote
Duuuhh mdomo komaWale waliokuwa wanasema Simba atafungwa na Azam kwasababu ei Yanga alipata sare kwa tabu ebu njooni mjishike ujinga