Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wamepatwa na nini leo, naona wanakabia kwa macho..nina hakika watafungwa na AzamSimba wanapaswa kucharuka sana kuweza kupata ushindi. Speed yao bado haitoshi kuwaadhibu Azam
Simba imepatwa na nini leo mzee, mbona hawasomeki?Dube kakosa goli