FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Akaminko
Kipre
Kipre

Manura anaondosha mpira pale
 
Zimbwe
Chama
Chama
Zimbwe
Mkude
Inonga

Manyama anakataa
Inonga anapiga ndefu
Chama
Zimbwe
Zimbweeeee

Ali Ahamada anadaka pale
 
Simba bado wako usingizini waamke sasa.
 
Azam wanatakata

Dakika ya 35' P Dube anapokea pasi kutoka kwa James Akaminko anaipatia Azam goli la kuongoza
 
Kapama angeenda pembeni halafu Nyoni arudi kati la sivyo tutaumia sana ule upande
 
Inonga
Manura
Onyango
Zimbwe
Zimbwe

Muamuzi anasema amesukumwa na Kipr
Free kick
 
Back
Top Bottom