FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Lyanga
Lusajo
Dube
Lusajo

Zimbwe anatoa

Konaaaa kwa Azam
 
Usipojali matokeo...Kuna Boli Kali Sana Hapa linafanana na Boli la Makundi ya CL CAF....
 
ivi nyau hawa weupe maana nilisikia azamu wamepaki basi
 
Akaminko
Nado

Nado
Duuube

Zimbwe
Okra

Anababatiza

Kona kwa Simba
 
Mmepoteana kati hamna cha Chama wala Chauma,leo ndio mkae mkijua Jpili mlikamia mechi.
 
Simba

Kibu Denis ameingia
Augustine Okra ametoka

Banda ameingia
Jonas Mkude ametoka
 
Back
Top Bottom