FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Daaah huu mpira wa leo hata siuelewi
Hauelewi nini sasa! Mbona nilishawatabiria kufungwa leo! Mkijitahidi sana basi ni sare! Na sababu ziko 3:-

1. Mmetoka kucheza mechi ngumu na Yanga.
2. Azam ana kikosi bora msimu huu, na kilichopoteza mechi 2 zilizopota kizembe! Hivyo walihitaji kujiuliza kwenu.
3. Azam kwa sasa ipo chini ya kocha wa muda Kally Ongala! Hivyo hata ningekuwa mimi, ningehakikisha nawakazia mwanzo mwisho, ili uongozi uniamini na hivyo kuwa kocha mkuu.
 
255627534917_status_5423109cb6374be4a8f2518a22bc45ac.jpg
 
Back
Top Bottom