Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuNajua mnaongea sana, ila nasikitika sana kwani huyo mnaemtumainia amekufa goli tatu kwa moja, kama unabisha nipo nimekaa pale!!
Tusubiri kipindi cha pili
Kama ni hivyo leo mtani kazi tunayo asee. Acha tuone kama kuna muujiza wowoteLeo lamba lamba wameamua hakuna hiyo nafasi mtani
Mzee wa magari...ccc haina kipengele[emoji23]Jipe moyo.Mnavuliwa boxer leo
Kwasasa wewe Ashura nani kwani?Mkishinda tatu mimi niiteni Ashura jumbe
Hii mechi kwa simba ilishakuwa tu ngumu hata kabla ya mchezo kuanza. Hivyo wakipata hata sare, washukuru.Najiuliza Yanga walitoaje sare na hawa MAKOLO.
Yanga nayo haina maajabu ndo maana walitoshana nguvu na SimbaNajiuliza Yanga walitoaje sare na hawa MAKOLO.
Aongezee Ashura Iyenyi sio?Chagua jina jingine!! Ashura jina la mke wangu!
Short on target Kitu gani...We angalau pira La Level Za Makundi CL CAF....24 yrs Sio Mchezo ...Azam hawajapaki basi kwa kifupi mmepoteana kati. Mpaka sasa dk ya 80 hamna shot on target hata moja.