FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani

Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu

1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara)

2. Namungo wamefunga wastani wa mabao 0.67 katika michezo yao ya ligi

3. Timu ya Azam imefanikiwa kushinda mara 4 nyumbani kwa Ligi Kuu Bara kwenye HT/FT

4. Azam hawajafungwa katika mechi 16 kati ya 18 walizocheza nyumbani hivi karibuni (Ligi Kuu Bara).

5. Azam wameruhusu wastani wa mabao 0.67 katika michezo yao ya ligi ya nyumbani
***

Dakika ya 26'
Azam keshapigwa Chuma 2.

Azam 0 - 2 Namungo.
 
Jamani pale juu tumezidi kubakia wababe...yani njia nyeupee kwa Mnyama kuchukua kombe..maana si kwa Azam maembe hii
 
28'
Azam 0 - 2 Namungo
 
Bakhresa alibugi sana hapa...

Nadhani akina Jemedali warudi kwenye timu.

Pia Azam watafute Coach.

AZAM HOVYO MNO
 
Walitumia nguvu kubwa kwa Yanga kuanzia mambo ya nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja wakasahau kuwa wana match nyingine za ligi. Wacha wapigwe na washuke kabisa.
Wanakaudhaifu kabaya sana.
anyway muda bado sana
 
Bakhresa pesa anazitumia hapo azam fc ni bora akagawe kwa wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom