Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
NdioAnatumia tu bila kuingiza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioAnatumia tu bila kuingiza?
Bali.?Haiko hivyo bossi.
Hii timu inatia hasira sana, alafu wachezaji hawaoneshi nia ya kuipigania timu, wapo wapo tu.Naangalia game hapa hata sielewi hawa Azam wapoje
DahHii timu inatia hasira sana, alafu wachezaji hawaoneshi nia ya kuipigania timu, wapo wapo tu.
Wakikutana na nyie watafufuka ngoja utaona [emoji28]Jamani pale juu tumezidi kubakia wababe...yani njia nyeupee kwa Mnyama kuchukua kombe..maana si kwa Azam maembe hii
🤣🤣🤣🤣Nmme miss mashutii ya mbari