FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Hahaha dah yaan kuna pira wanacheza Namungo hapa huwezi amini ndio wanashika mkia.
 
Feitoto amekosea hesabu za maisha, pesa siyo kila kitu katika maisha.
Ni kweli pesa sio kila kitu kwenye maisha zaidi ya 'furaha na amani nafsini mwako' .

Huenda Fei yupo sawa kwa mtazamo na maamuzi yake.
 
Mchezaji wa Namungo anakula Yellow kadi
 
Azam lazima atafte CEO mgeni kuondoa uswahili. Hasa yule Ex-CEO wa Yanga wa S. A
 
Feyzal ana gundu. Atoswe baharini kama yona mawimbi yatulie
 
Bajana Out.
Bangala Inn
 
Back
Top Bottom