FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Hivi tokea Feisali ajipigie Kitayose,
Ameshafunga tena?
 
Coastal katimua kocha na mechi iliyofuata kampiga mashujaa 2-0,mtibwa katimua kocha mechi iliyofuata kampiga geita 3-1,namungo katimua kocha mechi iliyofuata na azam anaongoza hadi sasa
 
Bakhresa aachane na timu.

Feisal nampa pole, atastaafu mapema mno
 
Azam wanapata kona Dk ya 66
 
Back
Top Bottom