FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Alooo .. siku nyingi sijanywa ngoja nimehisi kiu ghafla... [emoji2]
Yeye Fei hana wasiwasi. Team ifungwe usifungwe yeye anapiga mpunga wa maana. Mzawa anayepiga mpunga mrefu kupita wote bila ya kuisaidia team. Mungu anamakusudi yake kwa Bharesa kulitafuta litimu na kuzitapanye fedha ili utajiri wake ubaki kwenye equlibrium huenda angebaki nazo zisingekuwa na kheri kwake huko mbele.
 
HV fei Ana Hali gani muda huu HV Kwanza yupo

Falsafa ya Mpira wa ushindani haiko hvyo , ingekuwa hvyo mbape au halaand wangeenda uarabuni mana warabu Wana uwezo wa kulipa Zaid ya wanavyolipwa sasa , hayo mawazo yako ni ya kimaskini na dhiki
 
Back
Top Bottom