FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Hawa watu wa Huduma ya kwanza ni Wa Azam?
On both teams. wako faster balaa
 
Unajua lengo la Azam kuanzishwa?,


Aliyekuambia Azam inahitaji ubingwa ni nani?.

Kuanzia leo tambua wenzako wanacheza wasishuke daraja tu, hayo mengine ya kwenu.
Screenshot_20231027-221405.png
 
Bado Dakika ,5
Namumgo hawajui mbinu yakupaki Basi
 
Additional Minutes 4
 
Dk 90'+3
Azam 1 - 3 Namungo.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Full Time
Azam 1 - 3 Namungo
 
Back
Top Bottom