FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

Kwakweli hawa vijana wana tia hasara...bora Fei beiby arudi kwao Utopoloni
 
Niliweka mikeka mitatu
1. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na penati kutokea
2. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na kadi nyekundu kutokea

Tayari hiyo ya Namungo kuwa mwanzo kupata goli imeshatokea. Ikitokea na kadi nyekundu au penati mnitag

============================================
============================================

Ila huyu Alasane diao hawa azam walipigwa pakubwa sana
 
Niliweka mikeka mitatu
1. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na penati kutokea
2. Namungo kuwa mwanzo kupata goli na kadi nyekundu kutokea

Tayari hiyo ya Namungo kuwa mwanzo kupata goli imeshatokea. Ikitokea na kadi nyekundu au penati mnitag
Poa mzee
 
Hawa Azam wakicheza na Yanga au Simba hauwezi amini kama ndio hawa.
 
Si nasikia kuna mchezaji aliekua Raja au wydad humo?.
 
HT:
Azam 0 - 2 Namungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…