FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

Kwa mpira huu, hii timu haifiki kokote. Timu haina muunganiko! Inashangaza eti walienda pre season Tunisia!!
 
Chamazi wapageuze bwana la migebuka kutoka kigoma walau watu dar wapate utam wa migebuka
 
Bora Tu Azam atoke Hana spirit ya upambanaji kabisa ni aibu
 
Tulitegemea nini kwa timu inaweza mpira kwapani tena kwenye mechi ya kirafiki na ni nje ya nchi...aibu na ndio matokeo yake haya
 
Back
Top Bottom