Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira umepigwa mwingi[emoji1]Mpk sasa dakika 81 ,nini maoni yako
Nilikuambia mkuu jamaa niliwacheki game yao ya kwanza ,wako vzr ,mkawabezaNaiona mechi ikienda kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti
Hahahahaha,unaangalia mpira? Nilikua naweka sawa humu, watu walikua wanawadharau hawa jamaaMpira umepigwa mwingi[emoji1]
Yaani dakika za mwisho lakini wachezaji hawana ari ya kupambana, wanacheza kama dakika ya 60 vile. Hii timu inatuangusha sanaBora Tu Azam atoke Hana spirit ya upambanaji kabisa ni aibu
Afu wenyewe wanatumia nguvu kubwaa kuikuza ikichezaga na yanga utasikia derby ya daslam dah wanashangaza.Hii timu ingecheza na Simba au Yanga tungeishia kuiita Kibonde [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Azam ni kichwa cha mwendawazimu
Yah...Nafuatilia....Hahahahaha,unaangalia mpira? Nilikua naweka sawa humu, watu walikua wanawadharau hawa jamaa
Wenyewe wanazani ni ligi kuu tunahesabu pointi... Hawajui ni knock out stage... Very poorYaani dakika za mwisho lakini wachezaji hawana ari ya kupambana, wanacheza kama dakika ya 60 vile. Hii timu inatuangusha sana
Kocha uwezo wake mdogoKwa mpira huu, hii timu haifiki kokote. Timu haina muunganiko! Inashangaza eti walienda pre season Tunisia!!
Sasa kama timu inachezaga mechi na wachezaji wanane 8 wa timu, kwa nini isipate shida siku ya kucheza na wachezaji kumi na moja wa timu pinzani, Bodi ya ligi nalo ni kikwazo kwaoWachezaji wazuri, KOCHA amekosa mbinu..