Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Azam na wenyewe wamecheza soft sanaNilikuambia mkuu jamaa niliwacheki game yao ya kwanza ,wako vzr ,mkawabeza
Kipindi cha pili dakika 2 za mwanzo walicheza kitimu walihakikisha wapinzani hawapati utulivu wakiwa na mpira.
Azam wali press sana na kupora mipira mingi ila eneo la mwisho wamekuwa wakifanya makosa mengi ya wazi.
Iddris kuna muda alikuwa kwenye box na yupo kwenye nafasi nzuri ya kuweza kutengeneza nafasi ya kupata bao.
Lakini alivyoguswa kidogo ye akachagua kujiangusha ili apate penati.
Hivyo hivyo kwa Feisal hakuwa na utulivu au sijui niseme kwakua mpira ulitua kwenye mguu wake wa kushoto na yeye ni right footer ndio sababu iliyofanya apaishe mpira akiwa yeye na Kipa.
Ngoja tuone matuta