FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

Umpigie mashuti ya kilevi kama haya Ally Salim mbona nyie wenyewe mngemuita Buffon
 
Daaa!! Kwahyo Azam out? Hakuna team hapo Ngoja nimuweke kwenye blacklist ya team za mikeka yangu
 
Hawa Yogurt ni vibonde sana Aisee.... Yani hapa hata Ihefu wangepita tu!!! Dah kweli penye miti hapana wajenzi Hawa Azam wanakula sana Urojo
 
Dabo hata September hafiki, Pira Tunisia limefeli mapema sana 😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom