NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Kipa wa azam bado unamdai?Wakati Ally Salim anadaka penati kipa wa Azam ye alikuwa bize kulamba ukwaju
Matokeo yake ndio haya
Ka save penalty 3 bado una shaka naye.?
Kwanini usiwatuhumu wachezaji..
Sent using Jamii Forums mobile app