Mpk sasa dakika 81 ,nini maoni yakoSiku ile Azam walicheza chini ya kiwango kwa asilimia kubwa.
Leo wakitulia hata bao 3 wanashinda
PenaltyHivi ukiisha hivi ndio Azam ishatolewa ama penalty?
Kama uliona mechi yao ya kwanza huwezi shangaa hii mechiNimeamini uchawi upo...
Uchawi upoDah! Hii timu inatia huruma mpaka basi. Ina wachezaji wengi wazuri, ina miundombinu mizuri! Ila malengo ndiyo haina.
Naiona mechi ikienda kuamuliwa kwa mikwaju ya penaltiMpk sasa dakika 81 ,nini maoni yako
Mshindi lazima apatikane leoPenalty