FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

Dakika 90 zimeisha

Azam 2 Bahir Dar Kenema 1

Tunaenda matuta....
 
Bora Tu Azam atoke Hana spirit ya upambanaji kabisa ni aibu
Yaani dakika za mwisho lakini wachezaji hawana ari ya kupambana, wanacheza kama dakika ya 60 vile. Hii timu inatuangusha sana
 
Yaani mashabiki wote hao Azam wanazingua aisee duh!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…