Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Hawana kipaAzam sio wa kuwawekea dhamana kah.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana kipaAzam sio wa kuwawekea dhamana kah.!
Mjinga sanaHawana kipa
Wengine burudani yetu ni soka mkuu... Kuna watanzania zaidi ya elfu ishirini pale uwanjani sizani kama wote wanapoteza mudaKweli nyie wapenzi wa mpira. Unakaa kabisa kitako kuwaangalia Azam. U guys got time
Nahisi taa nyekundu [emoji38]Wamekoswa hapa Azam almanusura
Fanya update wewe .Azam kwenye michuano ya Kimataifa Huwa ni matakataka tuuMatch hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC,
Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera ya ligi kuu ya NBC,
Ikumbukwe kuwa Azam wapo nyuma kwa bao 2-1 , hivyo wanahitajika kushinda goal 1-0 ili kuweza kufuzu hatua inayofuata,
Kwa wale mliopo Dar Es Salaam, match hii ni bure kabisa, kikubwa uwe na jersey ya Azam Fc ya msimu wowote ule na uwe na mzuka sana wa kushangilia
Ungana nami hapa kwa ajiili ya update za mchezo huu muhimu kwa taifa letu na team yetu pendwa ya Azam FC
View attachment 2728209
Kikosi cha team bora Azam Fc kimeshatoka na hiki hapa
View attachment 2728432
01' Azam wanapata goal la mapema
Azam 1-0 Bahir kenema
10' Dubeeeeeeeeee, kijana kutoka Bulawayo, anawapatia Azam Fc bao la pili hapa na kufanya matokeo kuwa 2-0, kwenye Agregate ni 3-2
18' Bahir Dar wanapata Goal,
Matokeo ni 2-1, Tunaanza upyaaaaaaaaaaaaa
Ok mkuuSijapata nafasi ya kupiga picha...
Ulitaka tuangalie timu gani?Kweli nyie wapenzi wa mpira. Unakaa kabisa kitako kuwaangalia Azam. U guys got time
Kiyayose ndiyo kitu gani?Sio kwa ubaya haya jamaa waige kile alichokifanya kiyayose
Hii mechi ni 50/50Wamekoswa hapa Azam almanusura
Kabisa wameanza kulilia penati hawakawii kukimbia [emoji28]Azam wanaonekana kama wameshakata moto...
Hawana akiliWengine burudani yetu ni soka mkuu... Kuna watanzania zaidi ya elfu ishirini pale uwanjani sizani kama wote wanapoteza muda