FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Kila la heri kwa Wananchi Yanga. 💛💚💪Ingawa natambua fika mechi ya leo haitakuwa nyepesi hata kidogo kwa pande zote mbili!
 
Kila la kheri chama langu Yanga SC 💚💚💚💚💚💚
 
Kabla ya game..
Inaonekana kama mechi ipo 50/50.....

Wakati wa mechi
Hapa ndipo mambo yatakaponza kua magumu mbona kipa kafungwa Goli rahisi... Oh mara refa anawapendelea, kwanini mabeki wahamkabi na huyu jamaa hamna kitu yaani anakosa magoli Tu Bora anangekuepo mtoto wa mtemi [emoji23]

Baada ya game kila goti litapigwa dah ila jamaa wako vizuri buana [emoji2957]
 
All the best My Team Young Africans.
Boli litatembea leo an Azam atapigwa zinazomtosha.
 
Nilipenda kuwatakia heri zote AzamFc ila kila nikiwafikiria walivyo laini naghairi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…