Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Utasikia beki za Azam zinakabia macho.Kabla ya game..
Inaonekana kama mechi ipo 50/50.....
Wakati wa mechi
Hapa ndipo mambo yatakaponza kua magumu mbona kipa kafungwa Goli rahisi... Oh mara refa anawapendelea, kwanini mabeki wahamkabi na huyu jamaa hamna kitu yaani anakosa magoli Tu Bora anangekuepo mtoto wa mtemi [emoji23]
Baada ya game kila goti litapigwa dah ila jamaa wako vizuri buana [emoji2957]
Najua utakimbia wewe na genge lakoTutaona
Haters tupo around
Hahahhaha mara Azam viongozi wake NI Yanga [emoji2]Utasikia beki za Azam zinakabia macho.
Leo hii umetoa biasless claim!!??Watajuana wenyewee huko.
Unawatakia heri washindani wenu kwenye nafasi ya piliKila la heri azam fc
Dua ya kukuKila jambo baya liwakute Yanga kwenye mchezo huo[emoji120]