Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Umekosea kidogo, Ni Azam 1 - Yanga 5. Leo Azam nae anakula mkono. πAzam 01- Yanga 03
Citizen_37 nakubali sana.Umekosea kidogo, Ni Azam 1 - Yanga 5. Leo Azam nae anakula mkono. π
Wanatuma salamu kwa Utozidadi kuwa mara mwisho kusikia huo wimbo kabla Masandawana hawajawasambaratisha.Kwanini Azam wanapiga wimbo wa CAF kwenye hii mechi? Wamejisahau au
AnazinguaaaMzize toa nje
kijana anatuchelewesha kufurahiMzizeeeee daaah.......