FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Hii mechi wananchi tumekaa na sababu kubwa wachezajinwa yanga wanauchovu wa mfululizo wa mechi
Uchovu kwani mlilala kwenye miba?

Au hadi wachezaji wanatumia magodoro ya GSM? Maana yake ni msala

Lakini si ndio nyie ambao hadi Afisa Habari wenu alikuwa akibeza kitendo cha Simba kuomba TFF isogeze mechi mbele kwasababu ya mchezo dhidi ya Asec ambao Simba ilitakiwa kusafiri umbali mrefu?

Ally Kamwe alisema wao wana spirit ya kucheza mechi kila siku na kwa uwezo mkubwa.

Leo tena mnaomba poo?
 
Goooool ni yule yule somba somba onana dk 89 azam 2 -2 yanga wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tuliza kitenesi wewe utaua ujue
 
Feiiiiiiiiiiiiiiii tooooooootooooooooo 3'🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom