Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
81' Ronaldo ......in
Abdul Sabuni ...out
Abdul Sabuni ...out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchovu kwani mlilala kwenye miba?Hii mechi wananchi tumekaa na sababu kubwa wachezajinwa yanga wanauchovu wa mfululizo wa mechi
Na akae vizuri huu si uchezaji anaweza akalanba Tomato muda sio mrefu80' sure boy analamba ya njano baada ya kumchezea rafu man of the match fei too akiwa anaelekea golini kwa Yanga
Kipindi cha kwanza dakika ya 12Dakika ya ngapi
Tunao Simba Wawakilishi wa kila mwaka CAFCLWawakilishi wa Cacl hawa....waombee mema
KafanyajeGamondi anazingua
Moyo unaniuma hapa mpaka wine imekuwa chungu..!!🥹
Tuliza kitenesi wewe utaua ujueGoooool ni yule yule somba somba onana dk 89 azam 2 -2 yanga wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unataka nilie, niache mdogo wangu..!🥹
Katiba ya nchi imekataza mechi kuchezeshwa saa nane za usiku.81' Ronaldo ......in
Abdul Sabuni ...out
why?Hii game inaisha droo