Goli la kizembe kabisaView attachment 2458129
Goli 14 on top.Mayele alikuwa anataka apewe penati
Lile shuti ungepigiwa wewe ungedaka?Huwezi kushindwa Kudaka Mpira ambao tayari umepoa kwa kudunda Chini. Tena Unamtemea mpinzani Pale Hata Veterani Anafunga
Poor Azam, Wanafanya Makosa Ya Kijinga Sanaaa
Mzee bado una gubu na top scorer wa nbcFei toto akacheze kwa watoto wenzie
Wamuulize Manula atawapa jibu.Lile shuti ungepigiwa wewe ungedaka?
PoleHuwezi kushindwa Kudaka Mpira ambao tayari umepoa kwa kudunda Chini. Tena Unamtemea mpinzani Pale Hata Veterani Anafunga
Poor Azam, Wanafanya Makosa Ya Kijinga Sanaaa
Fei Toto anatakiwa ajitafakari. Kama anataka fedha, aende huko Azam. Ila kama anataka fedha na furaha; basi abakie tu nyumbani.Fei toto akacheze kwa watoto wenzie
umepoa uleHuwezi kushindwa Kudaka Mpira ambao tayari umepoa kwa kudunda Chini. Tena Unamtemea mpinzani Pale Hata Veterani Anafunga
Poor Azam, Wanafanya Makosa Ya Kijinga Sanaaa
Usijali mkuu hii mechi tumeinunua. Kipa wa azam ana bahasha ndogo ya kakiHuwezi kushindwa Kudaka Mpira ambao tayari umepoa kwa kudunda Chini. Tena Unamtemea mpinzani Pale Hata Veterani Anafunga
Poor Azam, Wanafanya Makosa Ya Kijinga Sanaaa
Uliiona mechi ya Azam na Simba round ya kwanza?Mmiliki tu shabiki wa Simba mechi za Yanga linatengwa fungu ili Yanga wafungwe na ndio maana wanakamia sana ila mpira wakumfunga Yanga msimu huu hawana.
Kila msimu mnaimarisha tu timu yenu!! 😃Yanga wana asilimia kubwa sana ya kutetea ubingwa. Msimu huu Simba tuimarishe timu na kuimarisha uongozi.
Feisal anacheza team gani leo?
Mkuu huyu mtu nishamchukia tayari... Aende tu Azam fc ila kwa sasa sisi ni unstopable na yeye analijua Hilo.Fei Toto anatakiwa ajitafakari. Kama anataka fedha, aende huko Azam. Ila kama anataka fedha na furaha; basi abakie tu nyumbani.