BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Wee utakuwa mshabiki maandaziNa imani kabisa kale katoto kutoka Zanzibar ni kashirikina kalikuwa kanaharibu nyota ya Aziz. Kamevunja tu mkataba na matunguli ya kenyewe kwa mtoto wa watu yameondoka. Mungu fundi kwelikweli nyie
Yaani Feisal kwa yote aliyotufanyia Yanga leo ndo awe mshirikina???
Hebu mkue basii...
Ulaya mtu anaondoka na timu inampa heshma ake ..sisi ni miroho yetu sasa.
Samahani ila huu ulioonyesha hapa sio ukomavu ni UZWAZWA..