eti dogo nae alitaka kushiriki kutuharibu kisaikolojia jinga sana now katakuwa kamejifichaHaya muendelee sasa na story za Feisal. π€£π€£π€£
Nimecheka Watu8 itabidi waje. Bado wanapambana na deal la Feisal dahWapo kwenye uzi wa Feitoto π
Ongeza sautiii...ππNauliza wasemaji wa Azam mna lolote? π€£ π€£
Hapa ndo ujue waliosema dunia haiishi vituko hawakukosea Mkuu. πππHii ndio timu Feisal analilia kwenda?[emoji23][emoji23]
Watajifanya wamelala eti. Hahahaaa.
ππππππ
Hakuna binadam anaeishi kwa wasiwasi kwa kipindi hiki kama shabiki wa ngada fcNauliza wasemaji wa Azam mna lolote? π€£ π€£
Si walisema Yusuph Bakhressa ana hela ya kufanya chochote!! Alishindwa vipi kuinunua hii mechi?Nauliza wasemaji wa Azam mna lolote? π€£ π€£
eti dogo nae alitaka kushiriki kutuharibu kisaikolojia jinga sana now katakuwa kamejificha
Hahahaaa. Lol.Makolo Kimyaaaaaaaaa!! Jana walikuwa na Azam na Fei wao.
Atajiju..πππHii ndio timu Feisal analilia kwenda?[emoji23][emoji23]
Hivi Simba mna nini lakini...ππππazam hii mechi walikuwa wanaitangaza kwenye mitandao kwa mbwembwe nkajua hata wata draw kumbe mafi matupu
Akana hamu saa hii.eti dogo nae alitaka kushiriki kutuharibu kisaikolojia jinga sana now katakuwa kamejificha