FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Kwanini Azam Tv Hii Derby Ya Azam Fc Na YANGA huwa Wanaidharau Katika kurusha Matangazo Yao?
 
Feisali timu gani huko....!

Niamue nishangilie ipi..?

Tupo Sisi timu Feisali...! Hasa hasa zinapotokea Kesi kama hizi... Refer Kesi Ya BM3 ,tulikuwa bega Kwa bega Na BM3 mpaka akashinda...! timu roho mbaya.
 
Angalia alichokifanya Morisson hapa

Yani kaamua kumpiga kiwiko mchezqji ambaye hata hayupo kwenye umiliki wa mpira na kusababisha foul isiyokuwa na msingi
 
Angalia alichokifanya Morisson hapa

Yani kaamua kumpiga kiwiko mchezqji ambaye hata hayupo kwenye umiliki wa mpira na kusababisha foul isiyokuwa na msingi

Morrison Akitemwa na Yanga ndio Anaiaga Tanzania Labda Aende Azam au Geita au SBS
 
Back
Top Bottom